”Watumieni vema wataalamu wa lugha ya Kiswahili” Waziri mkuu Mhe.Majaliwa.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza Wizara na Taasisi zote zinazohusika na maendeleo ya lugha ya kiswahili wawatumie vema wataalamu wa lugha hiyo waliopo nchini wakiwemo kutoka Vyuo Vikuu, Mabaraza ya Kiswahili na Vyama vya Kiswahili katika kukitangaza na kukibidhaisha kiswahili ili kitumike kama lugha ya ukombozi na kusaidia kuleta umajumui wa Afrika. Pia, Mheshimiwa Majaliwa ametoa